NEC Yatoa Uamuzi Wa Rufaa 60 Za Wagombea Ubunge Na Udiwani -Video
Global Publishers September 12, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima.