Global Publishers September 16, 2020 4,640 views 0 Comments
SHARE THIS:
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), imeruhusu ndege kutoka Kenya kuanza kutua nchini ikiwa ni baada ya kuondolewa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa awali.