Global Publishers September 18, 2020 4,568 views 0 Comments
SHARE THIS:
MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti wa chama hicho jimbo hilo, Joseph Kibena, akijiuzulu nafasi hiyo.