×

Bodi ya Ligi Yaufunga Uwanja wa Jamhuri Moro

BODI ya Ligi  nchini imeufungia Uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro hadi utakapofanyiwa marekebisho katika maeneo matatu ambayo ni: eneo la kuchezea (pitch), vyumba vya kubadilishia nguo na sehemu ya kukaa wachezaji wa akiba (technical benches).

Leave a Comment