×

🔴#LIVE: Magufuli Atua Iringa, Aendelea Kuwasha Moto

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28, Septemba 2020, ataendelea na Mikutano ya Kampeni katika Mkoa wa Iringa ambapo atafanya mkutano mkubwa katika Viwanja vya Samora.

Leave a Comment