×

Shigongo Ahutubia Kampeni za Ubunge Buchosa Buswelu-Nyanzenda

Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Buswelu-kata ya Nyanzenda Jimbo la Buchosa-Sengerema.
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo akiwahutubia.
Meza kuu ilivyoonekana.
Mdogo wa Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Masha Bukumbi (kulia) akifuatilia mkutano wa kampeni uliokuwa ukiendelea.
Shigongo akizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika kata ya Nyanzenda.

Leave a Comment