Global Publishers September 28, 2020 4,578 views 0 Comments
SHARE THIS:
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa tamko likikemea kitgendo cha mashabiki wa Yanga SC kuwafanyia fujo mashabiki wa Simba SC katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wa Yanga vs Mtibwa Sugar uliofanyika jana Jumapili, Septemba 27, 2020.