×

JPM Aipa Pole Familia ya Marehemu Mollel (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Magufuli akizungumza na kuwapa pole familia ya marehemu Briton Wilfred Mollel (26) mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyeuawa  Agosti 25, 2020 Tunduma mkoani Songwe.  Kulia ni mama mzazi wa marehemu, Roda Bryson Mwaisongole, akiwa  na mke wa marehemu, Salome Philemon Mayao.  Magufuli alikuwa Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 02 Oktoba 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John  Magufuli  leo Oktoba 2, 2020 amefika kutoa pole  kwa familia ya marehemu Briton Wilfred Mollel (26) mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM aliyeuawa Agosti  25, 2020 Tunduma mkoani Songwe.

…Akimkabidhi rambirambi yake ya sh. milioni tatu, mama marehemu.
…Akimkabidhi rambirambi ya sh. milioni tatu mke wa marehemu.
…Akisali  na familia hiyo.
…Akiwasalimia watoto wa marehemu.

Leave a Comment