Global Publishers October 3, 2020 4,578 views 0 Comments
SHARE THIS:
KATIBU Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amepata ajali jimboni Nanyamba mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo hilo, Colleta Kadinda.
Hata hivyo, yuko salama na amewahishwa hospitali kwa matibabu.