RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dr. Ave Maria Semakafu.
Dkt. Semakafu jana alitangaza kuwa serikali imefuta mafunzo ya Ualimu wa Shule za Awali na Shule za Msingi kwa ngazi ya Cheti. Agizo hilo baadaye lilitenguliwa na Rais Magufuli.

