×

Wolper Kasahau Kuumizwa Penzini

Staa wa filamu ambaye sasa hivi amegeukia kwenye upande wa kudizaini na kushona nguo mbalimbali, Jacqueline Wolper amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa amesehau habari za kuumizwa kimapenzi.

 

Akizungumza na amani, Wolper alisema zamani alikuwa akiumia kwa sababu alikuwa hajui jinsi ya kufanya malipizi lakini kwa vile ameshajua kila kitu, haachi moyo wake ukateseka hata siku moja.

 

“Unajua nimejifunza kitu kimoja usikubali mtu akuumize kama mtu anadate na rafiki yako na wewe kadeti na rafiki yake kwa nini tuishi kwenye msongo wa mawazo kitu ambacho kinatufanya tushindwe kufanya vitu vingi vya maendeleo?” alihoji Wolper.

Stori: Imelda Mtema

Leave a Comment