×

Konda Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watano Temeke Asimulia – Video

NI simanzi baada kupata nafasi ya kukutana na aliyekuwa konda wa Coaster iliyopata ajali na kuuwa watu watano ambapo ameeleza mengi kiwa ni pamoja na namna alivyojiokoa katika ajali hiyo huku akibaki na majeraha

 

Global TV Online imekutana na kondakta wa basi lililopata ajali na kusababisha vifo vya takribani watu watano na majeruhi 10 katika eneo la CHANG’OMBE TEMEKE, juzi. Konda huyo ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na namna alivyojiokoa katika ajali hiyo.

 

Leave a Comment