Shigongo: Kwa Mara ya Kwanza Tunapata Lami – Video
Global Publishers October 7, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amewasisitiza kwamba wamwamini na kumpa kura za kuwa mbunge wakijua kabisa ataleta mabadiliko makubwa katika maisha ya wananchi wa jimbo hilo.