Global Publishers October 8, 2020 4,682 views 0 Comments
SHARE THIS:
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akizungumzia mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa chama hicho, Rais John Pombe Magufuli utakaofanyika kesho Ijumaa 9 Oktoba 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.