Benki ya NBC Yajivunia Mafanikio Kuhudumia Sekta Binafsi
Global Publishers October 19, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw Theobald Sabi akizungumza na wadau wa sekta binafsi kuhusu mchango na huduma za benki hiyo katika kuinua sekta binafsi nchini wakati wa Mkutano maalumu ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ili kumpongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake katika kuiboresha sekta hiyo katika kipindi cha miaka mitano. Wanaoshuhudia ni pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Bi Angela Kairuki (Kulia) na Katibu Mkuu wizara ya viwanda na biashara, Prof. Riziki Shemdoe (Katikati).
Viongozi waandamizi wa Benki ya NBC akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw Theobald Sabi (wa tatu kulia) pamoja na Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) William Kallaghe (wa pili kulia) wakifuatilia mkutano maalumu ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ili kumpongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake katika kuiboresha sekta hiyo katika kipindi cha miaka mitano.
Maofisa wa benki ya NBC akiwemo Meneja Mahusiano Huduma Binafsi wa benki hiyo Bw Mark Peter (wa tatu kulia) wakilezea kuhusu huduma za benki hiyo kwa baadhi ya wadau wa sekta binafsi waliotembelea banda la NBC wakati wa mkutano maalumu ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ili kumpongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake katika kuiboresha sekta hiyo katika kipindi cha miaka mitano.
Meneja Mahusiano Huduma Binafsi wa benki hiyo Bw Mark Peter (kulia) akilezea kuhusu huduma za benki hiyo kwa mmoja wa wadau wa sekta binafsi Bw Elias Lukumay kutoka Chama Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) waliotembelea banda la benki hiyo wakati wa mkutano maalumu ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ili kumpongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake katika kuiboresha sekta hiyo katika kipindi cha miaka mitano.