MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT WAZALENDO, Selemani Bungara, maarufu kwa jina la Bwege (aliyeshika Ipad, akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliw,a alipomuombea kura Rais Dkt. John Magufuli.


