×

Live: Mwili wa Elisha Elia Watolewa Muhimbili Kwenda Kuagwa

MWILI wa mtangazaji Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya kufanyiwa ibada ya kuagwa na baadae kusafirishwa kuelekea Mbeya kwa ajili ya mazishi.

 

Leave a Comment