MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, tayari ameshatia wino baada ya kupiga kura yake mapema leo katika kituo cha Shule ya Msingi Nyamimina, Chema, jimboni Buchosa.
View this post on Instagram
View this post on Instagram

