MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara, amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 18,705 akifuatiwa na Issa Juma Chilindima wa Chadema ambaye amepata kura 12,546.
Nunua magazeti kupitia globalapp.co.tz au Application ya GlobalApp Ujishindie Mkwanja hadi Tsh. 100,000/=
iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8
Web: www.globalapp.co.tz
Baada ya kununua jaza fomu hii bila kusahau jina lako kamili, kumbukumbuku namba ya manunuzi na namba ya simu uliyotumia kununua. Kwa Tsh 300 tu, utakuwa umejiweka kwenye nafasi ya kujipatia zawadi ya simu mpya na mkwanja mpaka 100,000 kila wiki. Nunua sasa uzawadiwe!
Kujaza fomu bofya hapa ===> https://bit.ly/3oB6AO7
