×

JPM Ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

 

Uteuzi huo unaanza tarehe jana Novemba 5, 2020. Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya uteuzi wa kipindi cha kwanza kumalizika tarehe Novemba 5, 2020.

Leave a Comment