×

🔴#Live: Ufunguzi wa Mkutano Mkubwa wa Injili wa Mapambano Hadi Ushindi

Karibu sana kutazama mkutano mkubwa wa injili wa MAPAMBANO HADI USHINDI utakaorushwa moja kwa moja (LIVE) kupitia channel hii.
Muda ni kuanzia saa 11:35 jioni hadi 2:00 usiku. Kutakuwa na semina na mahubiri yanayohusu;

1. Kaya na Familia-Mchungaji Stephen Letta
Namna ya kushinda mapambano ndani ya maisha ya familia na mahusiano. Utajifunza namna ya kushinda migogoro ya ndoa na kuleta furaha.
2. Darubini ya Imani-Mch Brian Abdallah
Namna ya kushinda pambano la kiimani.

3. Pambano KUU.
Namna ya kufahamu na kushinda pambano kuu kati ya nguvu za Mungu na Ibilisi katika nyanja bali mbali za Maisha. Katika kazi, elimu, imani, na majaribu.

Neno kuu la Mkutano: “Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda”. Warumi 8: 37

Leave a Comment