Muimbaji Zuchu kutoka lebo ya WCB amelamba dili la ubalozi kupitia kampuni ya Nywele ya Darling, msanii huyo ameambatana na meneja wake Sallam Sk katika hoteli ya Hyatt, jijini Dar es Salaam.