×

Video:Rc Kunenga Ayakataa Machinjio ya Vingunguti

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge ameyakataa machinjio mpya ya kisasa ya Vingunguti baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wake.

Leo Desemba mosi Kunenge amefanya ziara ya kutembelea machinjio hiyo ambayo imekamilika kwa asilimia 95 na kushuhudia majaribio ya zoezi la uchinjaji ng’ombe.

Katika majaribio hayo zoezi la kuchinja ng’ombe lilitumia zaidi ya saa moja kwa ng’ombe mmoja badala ya dakika 10 kama inavyotakiwa kuwa kwa mujibu wa maelezo ya awali.

 

Leave a Comment