Mbunge wa jimbo la Sumve wilayani Kwimba, Kasalali Emmanuel Mageni, ametangaza mshahara wake mbele ya wananchi huku akisisitiza viongozi wa serikali hasa watendaji wa kata na vijiji kutowanyanyasa wananchi wa jimbo hilo.