
Endelea kujaza muda wa maongezi na tukujaze tena. Ni Bonus za Dakika! Bonus za MB’s! Bonus za SMS! Na Zaidi ushinde Smartphone kali kama aliyojishinda Bwn. Frank Piga *147*00# na ujaze tukujaze tena. Nunua kifurushi chochote na Tigo itakupa Bonus za Dakika, SMS na Mb’s na kubwa zaidi utajiwekea nafasi ya kushinda smartphone kila siku.

Tecno Kitochi 4G kumi kila siku na tatu kila wiki. Baba Kashinda! Hongera wewe ni mmoja wa washindi wa Itel T20 wiki hii. Nunua kifurushi chochote na Tigo itakupa Bonus za Dakika, SMS na Mb’s na kubwa zaidi utajiwekea nafasi ya kushinda smart phone kila siku.

Tecno Kitochi 4G kumi kila siku na Tatu kila wiki. Mshindi wiki hii baada ya kukakabidhiwa Smart Tv yake akipozi kwa picha. Katika Msimu huu wa sikukuu Tigo inatoa zawadi kupitia Jaza Tukujaze Tena hata ukinunua simu ya Itel T20 pamoja na Kitochi 4G Smart ambapo unapata hadi GB 30 za internet kutumia mwaka mzima! Na kubwa zaidi nafasi ya kushinda Smart Tv pamoja na Pikipiki. Tembelea maduka ya Tigo nchi nzima.