×

Video: Mama Samia Awafariji Majeruhi wa Ajali ya Treni

 

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewafika katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03, kuwaona majeruhi wa ajali ya Treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati ikitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Kigoma.

Watu watatu wamefariki na wengine 66 wamejeruhiwa katika ajali hiyo

Leave a Comment