KLABU Simba ya Tanzania, leo Januari 8, 2021, katika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika imepeagwa ikipangwa kundi A na vigogo Al Ahly ya Misri kwenye kusaka ushindi wa kutinga hatua ya robo fainali.
Makundi yamepangwa ifuatavyo:
Kundi A
Al Ahly ya Misri
AS Vita ya Congo
Simba ya Tanzania
El Merreikh ya Sudan
Kund B
TP Mazembe ya Congo
Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini
Al Hilal ya Sudan
CR Beloulzadad ya Algeria
Kundi C
Wydad Athletic ya Morocco
Horoya ya Guinea
Atletico Petroleos ya Angola
Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini
Kundi D
E.S.T ya Tunisia
Zamalek ya Misri
MC Alger ya Algeria
Teungueth FC ya Senegal.



