×

Live: Rais Magufuli Akutana Na Waziri Wang Yi Wa China Chato

Rais Dkt John Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, wilayani Chato mkoani Geita.
Rais Dkt John Magufuli akinunua kikapu kwa Mjasiriamali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Dkt Magufuli pia amewanunulia vitenge Waandishi wa habari wa kike ambao wapo wilayani Chato mkoani Geita kuripoti matukio ya ujio wa Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi.

Rais Dkt John Magufuli leo Januari 8, 2020 amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, wilayani Chato mkoani Geita.

Leave a Comment