NAIBU waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira na walemavu, Patrobas Katambi, leo Januari 09, akiwa na Kamishna wa kazi, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na kile walichokiona kwenye ziara yao waliyofanya kwenye maeneo mbalimbali.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx