
MWANAMUZIKI wa Bongo fleva, Ibraah, aliyepo chini ya lebo ya Konde Music Word Wide, ametimiza ahadi yake ya kuachia Karata Tatu (3) January 9,2021. Karata tatu ni mkusanyiko wa nyimbo 3 ambazo ni #Nimpende #Mapenzi na #Upande ambao amemshirikisha Skales kutoka Nigeria.