Video: C Pwaa Azikwa Makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar
Global Publishers January 17, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
MAZIKO ya Msanii wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa yamefanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar es salaam. Cpwaa amefariki usiku wa kuamkia leo Januari 17, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.