×

Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Muleba, Kagera – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2021 ameanza ziara ya kikazi mkoani Kagera ambapo ataweka mawe ya msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Akiwa njiani ameongea na wananchi wa Muleba, Kagera na amesisitiza Watanzania kuchapa kazi, kesho mkataba mkubwa unaohusu madini ya Nickel yaliyopo Kabanga Wilaya ya Ngara kusainiwa.

Leave a Comment