×

Magufuli Ampokea Rais wa Ethiopia Chato

Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Sahle-Work Zewde, akipiga ngoma baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato Januari leo 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

RAIS  John Magufuli, leo Januari 25, 2021, amempokea Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde, aliyekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita.

Rais  Magufuli akimpokea Rais Sahle-Work Zewde baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato.

 

…Akizungumza jambo na Rais Sahle-Work Zewde baada ya kuwasili.

 

TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA

Leave a Comment