
MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi, ANKUNDA MURO, kilichotokea katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili usiku saa Januari 24, 2021.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani Ubungo, Dar es Salaam na Machame Lyamungo Kati Hai. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki.
Bwana alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe – Amina.