×

Swali la Kwanza la Shigongo Bungeni – Video


MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, leo Februari 5, 2021, ameuliza swali kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma kwa Wizara ya  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuhusu lini Halmashauri ya Buchosa nayo itapewa hadhi ya kuwa wilaya kamili kwani inavyo vigezo vyote muhimu vinavyotakiwa kupewa wilaya ili kusogeza huduma na kuharakisha maendeleo kwa wananchi wa Buchosa badala ya kutegemea Wilaya ya Sengerema inayohudumia halmashauri mbili (Buchosa na Sengerema yenyewe).

 

Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange.

Leave a Comment