
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 11, 2021 amesema kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi hadharani hakuna tija kwani kunaongeza gharama za maisha.
NI mkutano wa pili wa Bunge la 12, Kikao cha Nane, umeendelea tena leo Februari 10, katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx