Sexy lady anayekimbiza kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ leo Februari 11, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa LEO LEO aliomshirikisha Koffi Olomide .