
MKURUGENZI wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2021, Hospitalini jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa tangu Januari 24, 2021.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Kissa Gwakisa Kasongwa, amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
@GlobalPublishers itakuletea taarifa zaidi juu ya chanzo cha kifo chake na taratibu za mazishi.
Bwana alitoa na Bwana Ametwaa, jina lake lihimidiwe…. Ameen!