RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 21, 2021 ameshiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam.