×

Bibi Aliyetelekezwa na Wanae Ashukuru, Aongea Machungu – Video

KIKONGWE wa kike aliyewahi kuripotiwa na Global TV hivi karibuni kutelekezwa na wanae, ametoa neno la shukurani kwa Wasamaria wema waliojitokeza kumsaidia chakula, matibabu na mambo mengine.

 

 

Alipoulizwa kuhusu wanae alisema hakuna mwanae hata mmoja aliyejitokeza kwenda kumuona hata baada ya habari yake kurushwa na Global TV na akamalizia kwa kusema: “Waache tu, Mungu yupo.”

 

Leave a Comment