PENZI la Msanii Harmonize na Kajala limeendelea kuonekana kushamiri ambapo jana Februari 25, Harmonize ameonesha upendo wa nguvu kwa kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi ya gari.