×

Part 2: Wazazi wa Mtoto Chekechea Genius wa Hesabu Wafunguka – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka mkoani Morogoro Vijijini katika tarafa ya Matombo, kumfuata mtoto, Charles Mathias, ambaye amebarikiwa kipaji cha kujua hesabu hadi aka trend kwenye mitandao ya kijamii, kiasi cha kufikia wizara ya elimu kutoa tamko.

Leave a Comment