×

Video: Rais Mwinyi Awaapisha Mawaziri Aliowateua Hivi Karibuni

Rais Mwinyi leo Machi 4,2021 amemwapisha Dkt Saada Mkuya Salum, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Omar Said Shaaban kuwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda huku Nassor Ahmed Mazrui kuwa Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment