UONGOZI wa lebo ya Konde Gang inayoongozwa na Harmonize, umeitisha mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na hafla maalum ya kumtambulisha msanii wake wa kike, Anjella Tz, itakayofanyika usiku wa leo katika makao makuu yao.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx