×

Cheza Michezo ya Expanse, Shinda Kitita cha Kiasi Kubwa


Shindano la Expanse VIP linazidi kutoa matajiri kibao kila siku, Meridianbet wameongeza mzuka kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ambapo mgao wa Tsh Milion 10,000,000/= unakusubiri wewe mpenzi wa kasino. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi.

Meridianbet wameamua kwamba kwa mchezo wowote utakaoucheza kati ya 10 iliyochaguliwa chini ya Expanse na ukaweka dau la kuanzia Tsh. 2000/= basi moja kwa moja unakua umeingia kwenye nafasi ya kuibuka na ushindi kwenye promosheni hii.

Promosheni hii imeanza Juni 21 na burudani hii itaendelea mpaka mwisho wa mwezi, yaani 30.06.2026 ambapo, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaotangazwa baada ya kuisha kwa shindano hili la michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba na nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10#.

Promosheni inaendeshwa kwa mfumo wa mashindano ambapo kutakua na ushindani wa kuwa sehemu ya namba za juu ili kujipatia zawadi nono zaidi. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni hii ni ile kutoka Expanse itakayojumuisha Wild White Whale, Zombie Apocalypse, Meridian Icy Fruits, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Pia Premium, Candy’s Bonanza na 100 Super Icy.

Kwa kuzingatia namna msimamo utakavyokua siku ya mwisho, basi zawadi zitatolewa kwa jumla ya watu 20 walioshika nafasi za juu kwenye jedwali la washindani, na mgawanyiko wa zawadi hizo kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho itakua kama ifuatavyo;
• Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Pili: 1,800,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Tatu: 1,000,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya 4 na 5: 850,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya 6 hadi 10: 300,000 TZS Taslimu
Na kuanzia nafasi ya 11 mpaka 20 watajishindia 150,000 TZS Taslimu
Nafasi yako kuondoka na kitita cha pesa bila kuhitaji mtaji mkubwa ndo huu sasa, jisajili sasa na Meridianbet na uanze safari yako ya ushindi na kuandika historia mpya kupitia Expanse VIP Tournament

Leave a Comment