×

Msami Baby: Simjui Kajala, Ndio Nani

Ni ‘headlines’ za msanii na mkali wa kucheza Msami Baby ambaye amejitokeza na kusema hamjui Kajala Masanja ndio nani baada ya kuwa na uvumi mitandaoni unasemekana aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo wa filamu.

 

 

Msami Baby amesema; “Mimi kiukweli nimekuwa naulizwa sana hilo katika siku za hivi karibuni lakini huwezi amini mimi simjui kabisa Kajala ni nani.”

 

 

“Najaribu kuvuta picha watu wananiambia kuhusu yeye lakini simjui ni nani mpaka najiuliza kwamba kuna watu wamenifananisha na mtu, mimi simjui,” ameongeza.

Leave a Comment