×

Arsenal Yarejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England

Arsenal imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton katika dimba la Molineux.

Washika Mitutu wamefikisha alama 74 baada ya mechi 33 wakiwa kileleni walau kwa muda huku Wolves wakisalia nafasi ya 11 alama 43 baada ya mechi 33.

FT: Wolves 0-2 Arsenal
⚽ Trossard 45’
⚽ Odegaard 90+5’

MWIGIZAJI BI UBWA wa ZAHANATI ya KIJIJI AFARIKI DUNIA – CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAFAHAMIKA

Leave a Comment