MWANAMUZIKI Alikiba, amepata nafasi ya kutumbuiza katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, leo Machi 25, katika uwanja wa Magufuli, uliopo Chato mkoani Geita.