×

Maelfu Wajitokeza Kuaga Mwili wa Magufuli Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, tayari umewasili salama nyumbani kwake Chato mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, wakazi wa mkoa huo na mikoa ya jirani watapata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho.

Leave a Comment