×

Heri ya Kuzaliwa Sifael Paul, Mhariri wa Global Publishers

LEO Aprili 3, 2021 ni siku muhimu  kwa Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda na Ijumaa ya Global Publishers, Sifael Paul, ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa  kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Heri ya Kuzaliwa Sifael Paul!

Leave a Comment